Masharti ya kujisajili

  • Programu ya Africa Academy inayotoa mafunzo yake kwa njia ya matandao inafurahi kukubali wanafunzi wote wanaotaka kujifunza elimu ya Sharia ya Kiislamu bila kuhitaji vyeti maalumu.
  • Mwanafunzi lazima awe na ujuzi wa kuzungumza, kuandika na kusikiliza lugha ya kiswahili; kwa sababu ni lugha rasmi ya Academy inayotumika katika mfumo mzima wa kielimu (kusomesha).
  • Mwanafunzi lazima awe na umri usiopungua miaka 15.
  • Mwanafunzi lazima akamilishe utaratibu wa usajili kama inavyotakiwa.

تبقى لفتح التسجيل في الدفعة الأولى​
يوم
ساعة
دقيقة
ثانية
×