• Tunawapa bishara kwamba usajili katika programu ya Stashahada ya elimu ya Kiislam ya Africa Academy sasa uko wazi na ni bure kabisa kwa watu wote wanaovutiwa kujiunga, kwa maelezo zaidi unaweza kusoma kurasa za tovuti yetu.

  • Masomo katika stashahada ya Africa Academy yataanza siku ya Jumamosi tarehe 21/10/2023

×