Programu nzito ya kielimu ya elimu za Sharia kwa muda wa mwaka mmoja, ambapo yanakuwa masomo kwa mfumo wa makundi, ambapo makundi ya kimasomo huwa kwa vipindi maalum katika mwaka na kutangazwa kwa njia mbalimbali za mawasiliano na luninga za chaneli za Afrika TV, na usajili wake hufunguliwa kwa muda wa kutosha kabla ya kuanza. Na programu ya stashahada huwa na mihula miwili ambayo mwanafunzi anasoma masomo sita katika kila muhula, na baada ya mwanafunzi kufaulu mitihani ya mwisho kwa mihula miwili, anapata stashahada ya elimu ya Sharia kutoka Africa Academy.
Utambulisho wa kozi zinazosomwa
kozi hutolewa kwa njia ya
vitabu pdf
Matangazo ya moja kwa moja kwenye YouTube
Mihadhara ya sauti (mp3)
video za mihadhara katika chaneli ya Academy
Mpango wa masomo
Akademi inategemea mfumo wa masomo wa masafa (kupitia mtandao) , ambapo mwanafunzi anachagua njia ya kusomea ambayo inaendana nae zaidi miongoni mwa njia tofauti zinazopatikana
Pakua faili la mwongozo wa mwanafunzi kufahamu mpango kamili wa masomo katika jukwaa