Programu ya Africa Academy inayotoa mafunzo yake kwa njia ya matandao inafurahi kukubali wanafunzi wote wanaotaka kujifunza elimu ya Sharia ya Kiislamu bila kuhitaji vyeti maalumu.
Mwanafunzi lazima awe na ujuzi wa kuzungumza, kuandika na kusikiliza lugha ya kiswahili; kwa sababu ni lugha rasmi ya Academy inayotumika katika mfumo mzima wa kielimu (kusomesha).
Mwanafunzi lazima awe na umri usiopungua miaka 15.
Mwanafunzi lazima akamilishe utaratibu wa usajili kama inavyotakiwa.